Empowering Your Financial Future

Providing reliable loans and expert financial guidance.

Malengo Yetu

Akiba na Mikopo
Uwekezaji kwenye Miradi
Kuwezeshana Kiuchumi

Huduma ya Mikopo

Mikopo ya Dharula

Riba nafuu kwa ajili ya mahitaji ya dharula.

Mikopo ya Biashara

Ili kuwezesha ukuaji wa biashara yako.

Mikopo ya Bidhaa

Riba nafuu yenye kiwango cha ushindani.

Mikopo ya Maendeleo

Marejesho hadi miaka miwili kwa riba nafuu.

Uongozi wa Azimio Savings Group

Profile

Daniel Ngonyani

Mwenyekiti

Profile

Dominick Makanjila

Katibu

Profile

Gotard Ngonyani

Afisa Mikopo

Profile

Paulina Petro

Mhazini

Wanachama Wetu Wanasema Nini?

"

Nafurahi kuwa mwanachama wa Azimio Savings Group, nimeweza kukopa kwa riba nafuu kabisa.

"

- Mwanachama Wa Azimio Savings Group